BIBLIA


Lesson 1

KUUSU  BIBLIA

Biblia ina tufundisha wazi  kwamba  ni kitabu cha Mungu  kilicho andikwa na wanadamu kwa uwezo wa roho mtakatifu.

Biblia ni maandiko matakatifu ambacho kinaleta  amani na furaha . Zaidi sana biblia  ina tujibu wakati tunapo kuwa na maswali mbalimbali  kuusu  uwepo wetu na mwisho wetu( yaani  Tangu umbaji hadi mwisho wetu) na kutonyesha  mambo yaliyo mema na yaliyo mabaya mbele za Mungu na mbele ya sisi wanadamu.

Tunapo soma (2 thimotheo 3:16 ) Ina sema” Kila andiko lenye pumzi ya  Mungu ,la faa kwa mafundisho ,na kuwaonya watu makosa yao,na kwa kuwaongoza,na kwa kuwaadibisha  katika haki.

Neno linalo andikwa katika kitabu hicho haya kutoka katika mawazo ya wanadamu,bali Roho mtakatifu alizungumza ndani  ya   wanadamu sambamba na jinsi  walivyo ongozwa na Roho mtakatifu. Viongozi  wa nao ongoza shughuli hizi za kiroho wanahitajika kufundisha mafunzo kamili ya nayo funuliwa katika Bilblia.

Waandishi wa kitabu hiki  wali andika   wakitumia  wakati, elimu, ujuzi na nafasi za kijamii mbalimbali.

Na walipo  kusanya maandiko yote kwa kuweka kitabu kimoja yalikutwa ya naambatana.

Biblia ina tuambia  juu ya mipango ya Mungu  juu ya wokovu, ina weza  kutuongoza kwa kumaliza ubaya na kuwa katika hali njema, na hali yoyote inayo tufanya kuwa wenye zambi na wabaya wote. Lengo la biblia ni kutufanya  tujuwe na umoja kugombanisha kuto kuwa na ukabila wa rangi wowote  kwa ajili ya wokovu kupitia yesu kristo.

Agano lakale  na agano jipya  yana  tuunganisha wote  kwa yesu Kristo kama  mwokozi  kwa hali ya kiutu.  ( John 20:31) ina sema “Lakini hizi zimeandikwa ili mpate kuamini ya kwamba yesu ndiye Kristo, Mwana wa Mungu,na kwa kuamini mwe na uzima kwa jina lake”

(2Timotheo 3:15-17) inasema” najuwa kuwa Tangu kuwa utoto umeyajuwa maandiko matakatifu yanayo kuekimisha hata upate wokovu kwa imani iliyo katika kristo Yesu. ” Kila andiko lenye pumzi ya  Mungu ,la faa kwa mafundisho ,na kuwaonya watu makosa yao,na kwa kuwaongoza,na kwa kuwaadibisha  katika haki.Ili mtu wa Mungu awe kamili,amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema.

Yaliyomo

Biblia  ni mchanganyiko wa  vitabu vigawanyikavyo kwa ahina mbili.  Agano  la Kale  na agano Jipya.

Agano lakale liliandikwa kabla ya yesu kristo, na agano jipya liliandikwa  baada ya yesu kristo,

Ndani ya biblia  muna vitabu 66 ambavyo viliandikwa na watu 40  kwa mda wa miaka 1500. Waliyaandika kwenye inchi tofauti kama vile Israel, Egypt, Italy na Babilone, Na  vitabu vyote vilivyo andikwa katika  inchi hizo , waliyaandinka  kwa kutenda  kazi  katika inchi mbali mbali  kwa malengo ya Mungu.

KUUSU AGANO LA KALE

Agano la kale lina gawanyika aina 4

A)   Vitabu vya  musa , B) Vitabu vya Historia  ,C)Vitabu vya washairi(Poetic), D)Vitabu vya unabii.

AGANO JIPYA:  Kuna aina inne

A)Rikodi za injili, B)Vitabu vya matendo ya Mitume ,C) Vitabu vya Ma baruwa ,D)Vitabu vya Ufunuo

Swali  ambalo tuna weza kujiuliza, Je Yesu Christo aliamini maneno ya agano la kale?

Tunakuta kwamba , Yesu  ni center ya sura yote ya mipango ya Biblia na wakati alipo zaliwa agano jipya  halikuwepo  na wakati huo ali tumia maandiko matakatifu kutoka  agano la kale.  Yesu aliamini kabisa maandiko matakatifu,na aliyatumia katika mafunzo yake na kukubali kama ni uongozi wa aliye juu.

Yoana 5:46-47 kwamaana kama mngali mwamini Musa,mngeniamini mimi; kwa sababu yeye aliandika habari zangu. Lakini msipoyaamini maneno  yake, muta yaamini wapi maneno yangu?

Yesu , Abrahimu, Isaka , Yakobo,Daudi,na Sulemani ni watu ambao wali fuata agano lakale na mafunzo yali husu mafundisho haya  kwamba  watu hao walikuwa katika kweli  na walikubali kuwa agano la kale ni neno la Mungu.

BIBLIA  HAIWEZI KUSHUHUDIA  UONGO

Kuna watu wengi wenye elimu ya juu, wali jaribu kuta futa uongo wa biblia, bali hawakufaulu kuuona na hadi wakashindwa kabisa. Inchi nyingi  zina uakika wa ukweli wa historia ya Biblia kama vile Misri,nanive,siria,babilone,Asiriana lebanone.

UNABII  UNAHAKIKISHA UKWELI WA BIBLIA

Mungu mwenyewe ali chaguwa unabii kama uakikisho  usio na kikomo wa ukuu wake kwa  viumbe vyote(Isahia46:9-10) . Tuna elewa wazi njisi biblia ili towa unabii ulio  sahii kuusu kuzaliwa kwa yesu. Biblia ilitowa unabii ya mambo yalio pita  kabla mamia ya miaka na kuja kuwa na uwakika katika agano jipya(Mika5:2) haya yana tupa nguvu na ukweli . Biblia ina sema katika (Yeremia 30:10-11).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: